Review all about life style on the world such as hair style, fashion, and more...
Thursday, December 30, 2010
ANAULIZA WAPI ATAJIFUNZA KIDUTCH
"Nahitaji msaada wa kukutanishwa na mtu anaeweza kufundisha kidutch au kama kuna darasa la kidutch hapa Dar kama kuna community ya wadutch au watu wanaojua kidutch kwa ajili ya kupractise na kufundishwa pia."
No comments:
Post a Comment