LIFE STYLE And FASHION
Review all about life style on the world such as hair style, fashion, and more...
Monday, January 31, 2011
ANGALIZO......hii kijani inaitajwa
zeze TAFA bibi we na wadau wako naomba mniambie hii rangi inaitwaje najua ni kijani ila kitaalam si kuna majina yenu, naomba nimeipendfa nataka niitumie katika shughuli yangu na naomba mnishauri inampendeza mtu wa rangi gani , weusi nao itawafaa maana nina maids mchanganyiko
bi harusi mtarajiwa
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment