LIFE STYLE And FASHION

Review all about life style on the world such as hair style, fashion, and more...

Wednesday, February 9, 2011

USHUHUDA juu ya PROACTIV ACNE SOLUTION


Happy new year!

Mie ni mteja wako wa Proactiv, naitwa Thea (manka) hope unanikumbuka.

I am writing kutoa ushuhuda kuwa products za proactiv zimenisaidia sana.
Nilikuwa na chunusi kibao usoni, na nilikuwa nakaribia harusi yangu, so I was so
desperate in need of something ambayo ingeweza nisiaidia. Nikakutana na ile
habari ya proactiv kwenye blog yako, then tukawasiliana nika order, na nikapata
mzigo one month before my wedding, nikaanza kutumia. afte two weeks the changes
were significant! Hadi kufikia siku ya harusi yangu my face was glowing. soft
with natural color! So I was so happy and am still very happy with my face tone.
Ngoja nikutumie baadhi ya picha zangu za harusi uzione. The make up am wearing
ni kidogo sana, my skin is soft even without makeups I wish ungeniona before
ulinganishe na sasa!  So, kiukweli sijuti kutoa $100 yangu kununua proactive!
Tena zinakaribia kuisha so I will soon re-order!

                                             
                                                      
wantbeol at 8:27 PM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

About Me

wantbeol
View my complete profile
Powered by Blogger.