Monday, December 13, 2010

JIVINJARI VODA KWENDA VODA kwa ROBO SHILINGI

Sasa wateja wote wa malipo ya Kabla wanaweza KUJIVINJARI VODA KWENDA VODA kwa ROBO SHILINGI tu kwa sekunde (Bila Kodi: VAT & Excise) usiku mzima (i.e. kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi) kila siku.

Ofa hii ni kwa wateja waliopo mikoa ya DSM, Morogoro, Tanga, Pwani, Zanzibar, Lindi, Mtwara na Shinyanga vijijini.
Wateja waliopo mikoa mingine iliyobakia wataendelea kuwasiliana kwa SHILINGI MOJA tu kwa sekunde kwa simu za Voda kwenda Voda.
  
                          *Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
 

No comments:

Post a Comment