Sunday, December 12, 2010

VIPODOZI VYA AVON SASA VYAPATIKANA DAR!


Wadau wa Dar ningependa kuwatambulisha kwa vipodozi vya Avon.. ni original kutika U.K na sasa vipo hapa hapa dar.. nimevijaribu mwenyewe nimevutiwa.. wana kila aina ya vitu, foundations, eyeshadow, eyeliners, rangi bomba za kucha, blush, bronzers, mascara, hand creams, foot creams, shower gels bubble baths na kadhalika!

Watembelee kwenye group lao kwenye facebook, A.P.S Cosmetics by Avon na pia blog bomba kabisa, www.apscosmeticsbyavon.blogspot.com inayokufundisha mambo mengi kuhusu kupaka, make up ya watu weusi, kuijua ngozi yako na rangi zinazokufaa na mengi zaidi..

Kuna sale ya December kwa hiyo wapigie leo kupata vitu vya krismasi kwa bei bomba kabisa!

Penda ngozi yako, tumia vitu original vipodozi vya AVON.. Contacts: 0787-761073 au email, psumari7@gmail.com.

No comments:

Post a Comment