HAYA WADAU....LEO NAWATAMBULISHAAA KWENU KIJIWE KINGINEEE CHA UKWE'E.....NI MAFIAN FISH LOUNGE!! ILIYOPO MASAKI...YES NDIO HUKO HUKO USHUANI!! AMBAKO KUNA MISOSI BOMBA YA KILA AINA SAMAKI NDO KWENYE ,KUKU WA FOIL NK ...MISHKAKI YA KILA AINA YA NYAMA KUANZIA ZILE NYEUPE HADI NYEKUNDU....hakuna kisingizio kwao....NA MWNGE HAURUKI KIJIJI.....NA BILA KUSAHAU SUPU YA PWEEEEZZZZAA ndio mpeleke akanyweeee
MBALI NA MISOSI KUNA SEHEMU MURUA TULIVU NA YENYE HADHI YAKO AMBAPO UNAWEZA FANYIA SHUGHULI YAKO YA BIRTHDAY,UNA KITU CHA KUZINDUA......GIRLS OUT NA WASHKAJIIII tunaelekea hukooo
WANAPATIKANA::MASAKI,KAHAMA ROAD KARIBU NA OFFICE ZA BARRICK
WASILIANA NAO::0612 623426, 0715 376136, 0652 680306
YES!! NDANI KUNA BAR ILIYOSHEHENI VINYWAJI VYA KILA AINA U NAME IT!!....KWA WAZEE WA KAUNTA MMESHAPANGIWAAA VITI. VIREFU..... |
UKIAMUA KUSIMAMA PIA HUKU UNAJIPATIA KINYWAJI PIA RUKHSA....MAMBO YA COCKTAIL BANAAAAA
WAKUKETI HUKU UNACHEKI RUNINGA WALE WENYE TIMU ZENU...MLOCHANGIWA KIJIWE NDO HIKII
UKIWA NDANI KUNA ANGLE TOFAUTI....ZA KUBARIZIIII
YAP NI SOUND PROOF.....FULL KIPUPWE
SASA HUMU NDANI NDO MAMBO YOOOTE....FULL KIYOYOZIIII,SOUND PROOF WA NJE WA NJE...WA NDANI WA NDANI!!
KUNA SEHEMU MAHSUSI NA TULIVU KWA AJILI YA KUPATA MSOSI NA KINYWAJI
JIKO LA KUTOSHA...KUPOKEA ODA ZOZOTE...NA WANAPOKEA ODA ZA NJE...HIVYO UKIWA NA KASHUGHULI KAKO HEBU LISHA WAALIKWA SAMAKI NA KUKU WA FOIL
MISOSI YAO NI YA UKWE'E MI NILIANZA NA KUKU WAFOIL.....NA KUNA SAMAKI WA FOIL PIA.....NITAENDELEA KUKULETEA VYAKULA TOFAUTI VINAVYOPIKWA KWA UPISHI TOFAUTI NA WENYE LADHA NZURI
PARKING IPO YA KUTOSHA NA YENYE ULINZI WA KUAMINIKA
No comments:
Post a Comment