HAYA HAYA MAMBO YA 'KKW' KIZURI KULA NA WENZIO HUYU MAMA NILIKUTANA NAE KATIKA HARAKATI ZANGU ZA KUSAKA SHILINGI, KWANZA ALIINGIA NA KUSEMA ANAUZA RIWA NIKAJITWALIA RIWA YANGU...AKAONA TUMECHANGAMKA AKATOA KADI AKASEMA TENA MABINTI NAWAALIKA KWENYE SHUGHULI KUTOA KADI IMEANDIKWA
MCHANGO WA KUFUNDWA
MC DUNIA AKISHIRIKIANA NA JOPO LA MA MC WATATU WANAYO FURAHA KUKUJULISHA KUWA BI.....................................
KUFUNDISHWA MAMBO YA NDANI NA JINSI YA KUONGEA KUKATA MAKALI YA HASIRA NJOO UONE MWENYEWE USINGOJE KUHADITHIWA NA MTU NJOO WA MAMA WA NDANI ...MCHANGO WAKO UTAFANIKISHA SHUGHULI HII YA MAHABATI NJOO UFUNDISHWE KUKATA VIUNO
NIKAMWAMBIA HAYA HEBU NIONESHE MFANO, NIONE SWAGGA ZAKO NDO IYO VIDEO KAMA MNAVYOONA KAMA MKIPENDA HUDHURIA MUWASILIANE NAE
MC DUNIA::0718 055127
POLENI VIDEO UMEGEUKA HAYA YANYENI MAZOEZI KWA KUPINDA SHINGO....BADO MGENI NA MAMBO HAYA NDO NAPATA DARASA.
No comments:
Post a Comment