SIKU HIZI NAONA MACELEBRITY WANAVAA HIGH HEELS NA SOCKS HATA RIRI KWENYE VIDEO YAKE ANAYOREKODI KATOKEA NAZO JE NI FASHION AU SWAGGA TU, AU WANAVAA HUKO ULAYA SABABU KUNA BARIDI?? NIKIVAA MIE MBONGO HAPA MAVUVUZELA YATAPULIZIKAJE?
KUNA SIKU SHAMIM NIMEONA UMEPOST PICHA YA MDADA KAVAA SOKSI ILA VUVUZELA HAZIKUCHONGA NILIPITIA COMENT, SASA MIE NAWAHABARISHA MAFASHIONISTA KUWA SOX NA VIATU NI SWAGGA JAMANI SIO WATU TUKIVAA TUNASHANGAANA NA MAVUVUZELA YA ULAYA MUANZE SEMA JOTO SIJUI LA CENTGRADE NGAPI....nawasilishaa
TUNTU

No comments:
Post a Comment