hapo chini kuna vifurushi ambako kila aliyekuwepo huko aliondoka nachooo...guess kuna nini ehe ndio gazeti....ehe?!! |
Madam Shekha
January Makamba alikuwa mgeni wa rasmi
MC alikuwa Taji Liundi na Cute Penny
MAPAMBOOO humo ndani kulikua kweusi tulingarishwa na taa na kitu cha kati hapo chenye JIUA
ILIKUWA UKIFIKA TU UNAPOKELEWA NA ASHERS WAKIWA NADNI YA MAVAZI RASMI YA SHUGHULIII......ni swagga tu ;)
BURUDANI!!
ilitoka kwa mchezaji mahiri romba na patna wakeee....aaaa jamaa anajitumaaa
THT nao hawakuwa nyumaaaa.....walikamua ile yenyeweeee
fataki ziliwashwa na kila meza.......ni swagga tu ;)
KABLA YA KUPATA DINNER TULIANZA KWANZA NA COCKTAIL
RED CARPET!!!ZULIAJEKUNDU!!
WALIROCK ZULIANI!!
PICHA MKATO!! |
KIM K .....WA BONGO NAE ALIKUWEPOOO
MA-MADAM WOTE WATOKEA
NAOMBA NICHUKUE FURSA HII KUWATAMBULISHA KWENU BEYONCE NA JAY Z wa bongo ;:) ukifanikiwa kupishana nao hutabishaaana nami
HUYU NDO HUYU MKALI WA SALSA....NAE ALIPITISHWA ZULIA JEKUNDUNILIKOGUSWAAA!!
Angalizo!! nimeguswa na Sarah ....sababu nguo tayari ina detail(mapamba) hakuona haja ya kujitwisha mijihereni iyooo akatupia kitu cha Stud Earings chezeeeea Sayonce ;)
Angalizo::hapo umeona eee sophy Ma Nayla alivyoJIFUNUA kwa kupiga hereni ndefu full bling ndani ya bega moja ......sasa hapo angesema ajitundike na Jicheni watu ndo ileeee tungeinuka kama Drogba (mcheza mpira maarufu duniani) Kakosa PENATI. ;)
Maaashaalllaw!! mambo yetu ya kisudan....ila nimegundua hii ina ya kisudan kunoga hata rangi ya mwili inachangia.....bibie Tunu Upo?!!
SWAGGA ZA VIBANDIKO......headpiece zilikuwepo |
HAHAHA VIDA ALINIGUSA NA HIYO BALL TIE YAKE KWA DRESS
HUYU MAMA ALIGUSA WENGI ...HILO REMBA LAKE JAMII YA NYWELE.....somo Upo?!!
MADINIII MAMA MADINIIII....HAPO JUU YA LIPS shoto...'zoom' |
ACHANA NA SWAGGA ZA GLOVES...NILIGUSWA NA MAKE UP....THANKS MUNNA ALIYENIPURA NIKAPURIKA,...WADAU YEYOTE MWENYE HARUSI AU MTOKO UNATAKA KUPAKWA MAKE UP NIBEEP NIKUPE MCHONGO UREMBWE NA PROFFETIONAL MAKE UP NA ANATUMIA PRODUCTS ZA UKWELI |
No comments:
Post a Comment