hii yaitwa hina ya kihindi hii
madiniii.....mazagazaga na maswagga pia yako
Bi harusi alikuwa sambamba na waubani wake bibi........Mtakaa humooo
bi harusi nae akatuonesha nyongaaa
Khadija weeee mama wama Pearls
WANA KIBAO CHINJA....mh Kata kaziniiii
UKAFIKA MUDA WA KURUSHA ROHOO
HAKUNA KUTOA ROHO NI RUSHA ROHOOO!!
hahahhaha hii ukiskia EXTREMEEE ndo hii
No comments:
Post a Comment