JOKATE MWEGELO
SARAH...SHAA
ZAMARADI MKETEMA
|
HAYA MDAU HAO NDO KWA MUJIBU WA 8020 FASHIONS TULISIMAMIA KWENYE KIZAZI KIPYA ZAIDI NA TUKAANGALIA WALE WENYE UTHUBUTU 'DARING IN FASHION'....WANAKUFA NA FASHION 'THEY TAKE RISK', TUKITOFAUTISHA NA WALE MAFASHIONISTA WETU WA MWAKA JANA...AMBAO TULIANGALIA WANAVYOTOKEA TU KIMUONEKANO WAO ZAIDI NA WENGI WAO SI RISK TAKER NA HUWA WANADRESS SAFE ZAIDI no kujilipua, HAYA NAWE KAMA UNA FASHIONISTA WA KIZAZI KIPYA AMBAO NI DARING IN FASHION AU TUANDIKIE JINALE AINGIE KATIKA LIST YETU KWA KU2WEKEA COMMENT NA KAMA UNA PICHA TUTUMIE
via shamyomy@yahoo.com
....labda nikiwapa mfano wa watu maarufu wa aina hii NILOTUMIA KAMA KIGEZO NI (MY RIRI) RIHANNA,LADY GAGA,WILLOW SMITH...kwa Bongo FIDELINE IRANGA ,LADY JAY DEE watu HAWA WAVAAPO NGUO ..they always make a statement and they have Unique styles, hawajali wewe unawafikiria nini ,they r risk taker!!
lol!! nimejitahidi kudadavua,hope mmenielewa;)

shukran
KHERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA
XOXO
MAMA IQ
No comments:
Post a Comment