EVENT::PRE WEDDING
VENUE::DIAMOND VIP HALL
COLOR::PURPLE &SILVER
unaweza pata picha alikuwa anaswing vp hapa....jicho analoo mzigo wa kati wa kuyumbisha ndo Mashaallaw...hongeraaa bwana harusi ikafikia kipindi cha namsaka mume wangu namsaka mume waaanguuuuu |
kila mtu na wakeeee bibi |
MAMA SALMA MTAMBO AKAMFICHUA BINTIYE KWA MIJIHELA....
kama nigeria
alikuwa na wapambe wa kutoshaaaa |
jiugonjwaaaaaaaaa lilikuwa la matawi ya juuu
Bibi we kabla bi harusi hajaingia watu walitoa gundu na husda kwa kufungua champen
Favors
Tanzanite Band walisababishaaaaaaaa
Kadi ilikuwa ya aina yake
NAWE KAMA UNA SHUGHULI YAKO NA UNAHITAJI KADI BORAAA NA BOMBA ....USISITE KUWASILIANA NA SILMAL INVESTMENT KWA KADI ZA UKWE'E KUONA
Kim K na ankal wake
shost alinibamba kwa mchanganyo wa lemba na hiyo kitu hapo kati
mrs Mwinyi nae tulikua nae
nimeguswaaa na haya malembaaa
baby Natalia nae tulikuwa nae
aunt hapo kati ana swagggga balaaaaa
Aunt Hellen mama wa Mashughuli alikuwepoooo
pamoja hapo shotooo eeeee MNYAMA ;)
Ilikuwa ni bampa 2 bamba huvuki bila kukaguliwa ;)
Claud alikuwa kiunganishii yuko Full nondo mmmmmmmmmm
da mariam ndo alikua mwenyekiti wa mambo haya
Mtoto ana swagga hadi raha aliwaoutshine mashost wate lol
mama Saida China alisababishaaaa
mnyama...mnyamaaa
hahahha Mamaaaa Salma Mtamboooo ndo alikuwa stelling wa hii shughuli yoote
shostito .....thanks kwa kib....o ;)
Brown Sugar na waubaniii....soon tutakutana tena kwa Saida China...i cant wait ;)
madini jamani madiniiiiiiii
Hata pearls nayo madiniiiiii
DADA'S PARTY
Hii ilinipita si mnanijua shost wenu nilivyo na mambo mengi kama unga wa ngano chapati mimi, visheti mimi hapo maandazi yanaumuka, nikapitwa na hii sherehe ya aina yake niliipenda walivyoibatiza jina la 'DADA'S PARTY' ikimaanisha kuwa iliandaliwa na dada za bi harusi .....balaa lilifanyika huko ndo usihadisiwe....ufanye kuvuta kiti uone kideo ....Picha shukran Mama Shughuli
No comments:
Post a Comment