VENUE::DOUBLE TREE HOTEL
COLOR::BLACK WITH RED
ORGANIZED BY::TMH AND FLAVIANA MATATA
SPONSORED BY VODACOM
meza zilipangwa hivi na hii ndo ile ya wadau wa 8020 fashions...shukran kwa kuniunga mkono tukafanikisha kuchangia.....hiyo tuzo ni yetu soote...XOXO
redds nao walikuwepoooo.....
WENYE NA CERTIFICATE ZETU TUKAPEWASAMBAMBA NA TUZO....SHUKRAN KWA TMH.....pamoko 4 life
TWIGA wa ahsante kutoka Mitindo House..... |
KWA PICHA ZAIDI ZA FASHION SHOW TEMBELEA UKURASA WA FACEBOOK WA
I VIEW HUMO
IKAJA ZAMU YA MNADA SHUGHULI HASWA ILIYOTUPELEKA HAPO AMBAPO PAMOJA MAUZO YA TIKETI,VITU KUNADIWA PAMOJA PLEDGE TOKA WADAU IMEKUSANYWA MILIONI 24....Shukran Flaviana Matata Balozi wa TMH,shukran kwenu wadau kufanikisha hili....inshaallaw tushirikiane tena mwakani
IKAJA ZAMU YA MNADA SHUGHULI HASWA ILIYOTUPELEKA HAPO AMBAPO PAMOJA MAUZO YA TIKETI,VITU KUNADIWA PAMOJA PLEDGE TOKA WADAU IMEKUSANYWA MILIONI 24....Shukran Flaviana Matata Balozi wa TMH,shukran kwenu wadau kufanikisha hili....inshaallaw tushirikiane tena mwakani
HIYO YA KIJANI HAPO ILICHUKULIWA NA ANITA MSANGI, HUKU GAUNI ALILOVAA FLAVIANA ,GAUNI LA DESIGNER WA NEW YORK SHERRI HILL LILICHUKULIWA NA VODACOM FOUNDATION. |
ANKO MOOOOO ALICHUKUA HII
NA HII ILICHUKULIWA NA SOPHIA BYANAKU 'MAMA NAYLA' ZULIANIII!! RED CARPET!! |
HAPPY BIRTHDAY AUNT EVELYN WA MABIBO BREWERIES,YE ILIKUWA NI BIRTHDAY YAKE SIKU IYO, NA AKAONA AJUMUIKE NASI KWA RED RIBBON....INAPENDEZA SAANA |
Wakati Flaviana kamvaa Sherri Hill Jide alimvaa Mustafa Hassanali Chezeyaaaa
Jigga na Sayonce kama kawa...Thanks I-VIEW kwa picha
Ally nae ni fashion Dare...risk taker...statement maker .....lol
binti Afrika nae alionesha mavazi ,,......kitu BACK TO AFRIKA!!
NILIKOGUSWAAAAAAA
MMMMMWwwwaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
MNYAMA ALIWAKILISHWA SAANA TUU
Yes ni mnyam....kitu cha kenge kama si chatu ;)
SWAGGA PLUS MADINI....BOY FRIEND WATCH NAZO ZILIKAMATAA
HII NDO INAITWA FASHION DARING......!!
HAIR DO'Z
Mwamy new Hair Do
Niliwasilimulia wadada wa chini ya mti wanaingizo jipya la MKONO MMOJA EEEE....ndo kama hii sasa wenyewe wanaisuka na kushonea wiving hapo kati
MAKE UP!!MADINIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
kitu cha mzee wa Mbagaraaaaa....D.....malizia
kitu cha bangili hapo kati huwaga parefuuuu kila nikikukuruka sifiki
No comments:
Post a Comment