kitu cha lace toka kwa Kiki na marinda marinda kwa mama Nayla hapo shoto
jiua hapo shoto na lace kwa mbaaali
kitu cha lace na jikanda...mambo ya COLOR COMBO toka kwa Kim K
Sequine iyo hapo kati toka Miriam Ikoa
Mnyamaaa aka Animal Print toka kwa Mwamy.....Bila kusahau lace hapo shoto
kitu cha Studs toka kwa Marsha...Martin...KAMA MADINI YANACHUNGULIA HV ;)
VELVET nayo iliwakilishwaa ha mrembo hapo kati
swagga la Jocate ndo balaa achia mbali kitu cha lace hapo shotooo
Nuru the Light na kitu cha Bega juu na hapo pembeni kunia badi natafakari iyo ni necklace au kitu cha swagga toka kwenye kivazi
kitu cha BEGA MOKO toka kwa Myler lol!!! nimegundua huko ni mwendo wa viminoooo tu ndo VILITAWALA.....kuna shost wangu alihoji watu walivulia sket kama sio jeans nje WAKAZAMA ndani na blouse tu ;))
No comments:
Post a Comment