Monday, December 6, 2010

NI HIVI.........................

KAMA NILIVYOWAJUZA WIKI ILIYOPITA KUWA KAMA WADAU WA 8020 FASHIONS BLOG HII, SHUGHULI INATUHUSU NA KAMA INATUHUSU, NILITAKA NIJUMUIKE NANYI KWA SISI KUNUNUA MEZA AMBAYO TUTAKAA MIMI NA NYIE WANA8020 NA IYO MEZA TUTAINUNUA 100.000 KILA KICHWA.

HIVYO KAMA UNASHOST WAKO AMBAYE WAWEZA KUJA NAE MNAJICHANGA KWA LAKI MBILI KAMA UKO ALONE TUTASOGOA SOTE MIMI NA WEWE ANDAA LAKI

HILI ONESHO ZAIDI YA KUWA NA BURUDANI NYENGINEZO PIATUTAKUWA NA BALOZI WA MITINDO HOUSE FLAVIANA MATATA ANAYEISHI KWA OBAMA KWA SASA KUTAKUWA NA FASHION SHOW NA IMEANDALIWA KWA AJILI YA KUFANYA HARAMBEE 'FUNDRAISING 'NA PESA ZITAKAZO PATIKANA ZITANUNUA GARI KWA AJILI YA KUWAPELEKA WATOTO WA KITUO CHA TANZANIA MITINDO HOUSE 'TMH' SHULE NK.....kama utapenda kuungana nami/nasi katika Red Ribbon Fashion Show nicheki kupitia 
0784 418941 au niandikie shamyomy@yahoo.com. 
na tiketi utaletewa ulipo

VENUE::DOUBLE TREE HILTON HOTEL
DATE::23 DEC 2010
DRESS CODE::FASHIONABLE BLACK &  RED
ORGANIZED BY::TMH & BALOZI FLAVIANA MATATA
vodacom nao Ndani ya show....hakika mwezi huu ni wao kushow love kwa kushare and care



No comments:

Post a Comment