Wednesday, November 17, 2010

ANGALIZO

MIMI NINA nina mtoto yangu anatarajia kufikisha miaka mitano mwezi ujao , sasa nilikuwa naomba theme au idea za kumfanyia kabirthday party . hapa nishaona kadhaa naomba nikumbushwe ili niweze hata kuchagua itakayo nipendeza natanguliza shukran kwa zeze na wadau
Mum

Hi Mum....
hukusema kama mwanao wa kiume au kike.....cheki hizi picha za Malaika  yeye alikuwa na theme ya THE PRINCESS AND THE FROG .wewe unaweza mtumia barbie, hannah Montana au dora nk
                    Birthday Girl alivaa nguo  kuendena na them...kama anavyoonekana
                            mapambo nayo yako...unaweza agiza au pita maduka ya vitu vya watoto
JIUGONJWA nalo na hata give aways kuendana na theme kama ilivyokuwa kwa Malaika watoto wakike wapatiwa cup cake ambayo ilikuwa na pete ya binti mfalme  ....huku wa kiume wakipewa  pete yenye kichura
MAMBO YA NACKY HAYA...hongera na ufanye uanzishe hii huduma Coz unayaweza

KAMA NI WAKIUME

cheki hii link for the idea then angalia mwanao anapenda katuni ipi kisha MTANDAZIE KUANZIA CAKE MAPAMBO NK kama ilivyo kwa Ayman na Baby Duck

http://8020fashions.blogspot.com/2010/08/ayman-birthday-party.html

http://8020fashions.blogspot.com/search?q=winnie+the+pooh

HAYA NA WADAU WENGINE MPENI IDEA

No comments:

Post a Comment