Thursday, November 11, 2010

PERFUMS....MHmmmmmm

                 katika ile safari yangu....nilikatiza na ile sehemu yetu Pendwa Duty Free...na  nikanyanyuka na ugonjwaaa...NILIDATAJE nikigeuka huku Aque Di Gio, huku kitu cha Midnight Poison na Love in White (Mambo ya Mama Obama) kwa ufupi nichanganyikiwa.....HAYA WADAU INGIZO JIPYA AU YAKO IPI ILI NASI TUKAINUSEE

No comments:

Post a Comment