Sunday, November 14, 2010

MSHAURINI

nina tatizo la kuotwa na vinyama vidogo vidogo vyeusi usoni kuna wengine nimewaona wao wametokewa mwili mzima ila mimi usoni na sehemu za shingoni hadi kifuani, sasa nakosa confidence ninapoongea na mtu au nashindwa kuvaa nguo za kata mikono na ninaona kama vinazidi kuongezeka vile.  naomba kwa mtu yeyote anayejua dawa yake aniambie.
Hilder

No comments:

Post a Comment