Thursday, November 4, 2010

USHAURIII

Shamimu tunashukuru kwa kutuwekea sehemu ya ushauri. Mi naomba mnishauri jamani nina ndevu na huwa zinanisumbua sana na mara kwa mara natoa na clip, nikifanya wax natutumka ile mbaya au hata nikitoa na uzi nakuwa na in growth nyingi so ninavimba sana. Sasa imefiki hata ngozi yangu imekuwa mbaya kwenye kidevu maana mara kwa mara lazima nitumie clip kuzivuta. sasa wandugu naombeni mnisaidie ili niweze kuzitoa permanently au nitumie njia gani nzuri ya kuvitoa. Pia nitumie product gani  ili ngozi yangu ya shavu na kidevu irudi kuwa nzuri inawiri na kung'aa vizuri pls siyo mkorogo bali mng'ao tu mzuri wa ngozi nadhani mmenipata vizuri Na ngozi yangu ni ya mafuta sana.

Asanteni

No comments:

Post a Comment