Tuesday, November 9, 2010

USHAURI

Habari za kazi dada shamim,Mimi nina tatizo kidogo,mimi ni mweupe kiasi kwamba mishipa ya damu inaonekana sijichubui,sasa kwenye miguu nyuma ya magoti inatokea rangi kama ya zambarau inaitwa(broken veins)mara nyingi inawatokea wazungu kuna sindano wana piga inaondoa lakini mimi sitaki kupiga sindano nitumie nini?naomba wadau mnisaidie kama kuna yoyote anajua dawa au sabuni ya kupunguza..

No comments:

Post a Comment