Friday, November 5, 2010

ANAULIZA!!

Hii Baloon Bongo inapatikana wapi???

Hi Zeze, me nilikuwa naomba uniulizie kwa wadau hilo kama baloon alilokalia huyo cute baby Asra nitalipata wapi kwa hapa Bongo?? maana Baby wangu ndio nataka kuanza pia kumfundisha kukaa. Naomba Msaada wako please !!! Picha nimetoa kwenye Blog ya mama na Mwana. Nimeona hakuna majibu for long time.

No comments:

Post a Comment