Monday, November 22, 2010

CHOCOLATE PRINCESS NDANI YA LIBENEKE

Duka lenye vitu vya ukweli linalojulikana kwa jina la CHOCOLATE PRINCESS BOUTIQUE ambalo linapatikana pale Mikocheni maeneo ya TALK OF THE TOWN limefungua blog mpya, jipatie vitu vya ukweli kwa bei nafuu kabisa kuanzia mavazi ya wakinadada pamoja na wakina kaka na watoto pia kwa kipindi hiki kinachokwenda kwenye sikukuu.
Tembelea blog ya duka hilo ili kujionea vitu viavyouzwa na uchague unachokipenda.
Wasiliana nao kwa simu namba: +255 712 020272 / +255 773 787272

No comments:

Post a Comment