Wednesday, November 3, 2010

NARGIS BABY SHOWER!!


 EVENT::BABY SHOWER
COLOR::YELLOW
THEM::UNISEX
VENUE::LILY'S GARDEN

                                                       


                                                                 hakika zawadi alipataaaa




                         kila aliyefika aliondoka na hiki kifuko ambacho alikabidhiwa na Mama Mtarajiwaa











  MC ALIKUWA KIMORA  ...... akawakaribisha kina mama wenye wana watoe darsaa kwa Mama Mtarajiwaaaaa.....sio lazima kila siku tutafute pini kwenye mchele na kuotea ukubwa wa tumbo la mtarajiwa






     falyyyy pupaaa.....yaani naamaanisha Kim K nyimbo aliyokuwa anacheza ni ya faly jina lake silikumbuki mie
                               ahkutoa jasho si Gym pekee hata  muziki unatoshaaaaa!!
                                    hiii mambo yetu yakeeee yana nigeria.... iva ivaa...no easy  nk..
                                            mwisho wa siku tulijichana sie.....mie nilijiseviaje?!!
  NILIKOGUSWAA HUU MSHONO WA KITENGE MMEONA KONO HILOOOO
                                                               mbeleeee.....Kyekue upo ...nije kula Punjabi?!!
                                                                           kwa nyumaaa
                                                                 konooo hilooo
                                          maDINIIIIIII....JAMANIII MADINIIIII MACHO YALITUA HAPA...NAAMBIWA MZIGO HUU NI TANZANITE NA NA KITU CHA WHITE GOLD.....FULU SET........mambo haya tukianza yatolea macho hatujengi walllwahiii....enjoy kwa macho ;)

No comments:

Post a Comment