Tuesday, November 2, 2010

NEW ARRIVAL......LUXURY LINEN

                                          HAYA HAYAA WADAU WALE WATEJA WALUXURY LINEN NA WAPENZI  WA MASHUKA YA UKWELI ( cotton 100%), MATAULO  NA MITO ANTI ALLERGE YALIYOTENGENEZWA NA MANYA YA BATA AMBAYO HAYANA MADHARA KWA AFYA BILA KUSAHAU VITENGE VYA UKWELI .....(YALEEE MAMBO YETU YA NIGERIA brocade, ankara nk) SASA NDANI YA DAR NA MZIGO NDO UMESHUSHWAAAA
            WANAPATIKANA::MJENGO WA TRIPPLE A WANATASAMANA NA USALAMA       BAGAMOYO ROAD
              MAWASILIANO:: 0775 00 22 22

                                    
matenge ndo haya nayaita matenge kwa ujumla ukifika pale utapewa majinaaa yakeee......Mabiharusi na madada wa pamoja na Mama wa Bi harusi hivi ndo vitenge vinavyohusika...ukavae tenge sare nawaalikwa Inahuuuuu?!!! ;)

                                       


              BAADHI YA MASHUKA AMBAYO NI COTTON 100%...NA JOTO HILI AAAAA UNAFANYA KUJIGEUZAA HADI KWAKUCHAAAA...kila rangi zinapatikana




                                         BILA KUSAHAU HAWA WAMEJIKITA KWENYE MATAULO PIA.....yaani ukutaka mtunza bi harusi wako tua hapa kila kitu utapata...Wandaa sanduku na masomo Mpooo nawe shost pia unahusika
          HII NDO ILEE MITO YETU.....PITA UKAHAKIKI...hakuna kuumwa shingo walaaa kupata mafua

                                       ENJOY SHOPPING WITH LUXURY LINEN!!

No comments:

Post a Comment