Wednesday, November 3, 2010

ANAULIZA!!

        
Tafadhali Zeze nisaidie kama wewe utakuwa unafahamu au hata wadau watakuwa wanafahamu mnisaidie.
 
Ninatafuta hii product iliyopo pichani. Nimejaribu kutafuta mlimani city bila mafanikio wana vifaa vingine tu vya nywele but same brand.
 
Mimi natafuta hii ni kwa moisturizer ajili ya uso. Tafadhali mwenye kujua mahali ninapoweza kuipata anisaidie.
 
Natanguliza shukrani.

**Mi sifahamu jamani msaidini 

No comments:

Post a Comment