Wednesday, November 3, 2010

LUCY KITCHEN PARTY!!

 Lucy ni mtoto wa Mama Monalisa maarufu kama natasha ...na nguo nyiiingi zilizovaliwa kwenye sherehe hii pamoja ya bi harusi imeshonwa na Natasha (watu wana vipaji Mashaallaw!!)
                             

                                        Mamaa Monalisaaa...mie nywele zako tu.....inshallaw mungu anipe uzima nami kishwa kipendeze kwa nywele nyeupe...kuna waliohoji kama nywele zake ukweli au anatia rangi ...NI ZA KWAKE mashost hatii rangi (mnaita high light eee au?)

No comments:

Post a Comment