Thursday, October 14, 2010

ANAHITAJI USHAURI WENU

dada shamim mi naombeni ushauri mwenzenu nifanyaje, mimi ni binti niko na boobs kubwa na ziko km vile nilishawahi kunyonyesha ila ukweli cjawahi hata kubeba mimba, ukweli cpendi kuwa hivi na dawa za wachina ctaki kutumia sababu najua zinamadhara makubwa sana. naombeni ushauri wadau nifanyeje ili yaweze kupungua au km ni mazoezi nifanye mazoezi gani?
Grace

KAMA UNALO LINALOKUTATIZA LIHUSIANALO NA UREMBO AU MITINDO NIANDIKIE
shamyomy@yahoo.com

No comments:

Post a Comment