Monday, October 11, 2010

USHAURI!!

Mpendwa nina shida nimehamia sehemu ambayo ina maji ya chumvi mwaka sasa mikono yangu imekua migumu sana hadi nakua unconfortable kumpa mtu and najaribu kupaka mafuta ya vaseline na handcreame ya johnson kila ninaposhika maji but sioni mabadiliko this is the same to unyayo miguuni please nisaidie infanyeje ili niodokane na hii adha?

No comments:

Post a Comment