Sunday, October 17, 2010

MPENI MSAADA PLZ

mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25,nimezaa mtoto wangu na miaka 2 kwa operesheni,
tatizo langu kubwa ni kwamba kwanza nina bonge la mshono nene utadhani sijui nn,pili tumbo lina strech marks ambazo zimeshasinyaa ila ndo zipo mpaka sasa na tumbo linakuwa kama lina contract na kuexpand mda mwingine nikivaa nguo lazima lijikate sehemu fulani basi tabu tupu na hata nikisema mazoezi sidhani kma itawezekana kwasababu sio kama matumbo mengine makubwa langu ni laisi kutokana na hizo strech marks,sasa nitumie nn ili liwe kawaida na kutoa hayo michirizi ya toka kipindi cha mimba?
                                             MAMA BRIAN

No comments:

Post a Comment