Monday, October 11, 2010

MY HAWA'Z!!


 Imetokezea tu wote ni wanaitwa Hawa, wote wananijali, wote ni Mamodel.....;) na wote ni rafiki zangu
                                               

                Hawa Mkamba yeye ni muigizaji na kwa sasa ;) Ni model wa Matangazo anatangaza Nywele

        Hawa Abdulkadir yeye ni Model ambaye anafanyia kazi zake wa uanamitindo nchini Afrika ya kusini

No comments:

Post a Comment