Friday, October 15, 2010

Make Up kwa ngozi yenye mafuta

                                        
Kama wadau walivyoomba kuongelea maada hii ya make-up kwa ajili ya ngozi zenye mafuta unachotakiwa kufanya kama ngozi yako ina mafuta chagua cosmetics na facial ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya ngozi ya mafuta
KUSOMA ZAIDI ZAMA  
UREMBEKE

No comments:

Post a Comment