Tuesday, October 12, 2010

JIDE AVIKWA UBALOZI WA FISTULA

 haya shime shime kina mama na watu woote huko mliko na mnamjua mtu anayeteseka na huu ugonjwa wafistula ....hospitali ya CCBRT Inatibu huu ugonjwa bureee, itakupa nauli ya kukutoa kokote uliko, chakula na malazi hadi utakapopona yeyote anayemjua mtu  tafadhali waliana nao kupitia namba 0765 770 770, 0752 678 263, 022 260 2877 na kwa habari zaidi ingia kwa Balozi

                                                CEO wa CCBRT Bw.Erwin Telemans
                                                  akitawazwa rasmi kuwa balozi
                                               alitembelea wodini kukutana na wagonjwa
                                      alipata wasaa wa kajiinterview kidogooo na vyombo vya habari
                                       picha tyme....hakuna red carpet jamani ilikuwa hospital
                                                         Jide  na Manager & brenda kikazi zaidi
                                                        niache tu kuguswa.......      viatuziiii
                                                     hiyo set ya Vitupio...safiiiiiii

No comments:

Post a Comment