Thursday, October 7, 2010

SHAMIMNISTA!!!!!!!!! ;)

 OPSS I DID IT AGAIN!!.....LOL HAYA MAMBO HAYA UTAYAPATA NDANI YA GAZETI LA SHEAR HAIR AND BEAUTY..... utapata kujua kajistory kangu .
                                    
                                                     umeona nilivyonoga?!!...hiyo ni powder ya MAYBELLINE  inayopatikana katika maduka ya SHEAR ILLUSSIONS ....KUNA YA KILA AINA YA RANGI ,BILA YA KUSAHAU INA MANJANO AMBAYO UKIIPAKA INASAIDIA UWE SOFT NA KUTOA HARARA ZOTE
                                                                YORI!! YORI!!
           JIPATIE COPY YAKO LEO KWA ALFU TANO TU........NDANI UTAKUTANA NAMI          SHAMIMNISTA!!

hicho ndo kitu kilichotua usoni mwangu KITU CHA 
MAYBELLINE POWDER AND FOUNDATION AINA YA MANJANO!! Hizi poda mwaya ni bomba naipenda sana, kwa kizungu wanasema zina ‘YELLOW BASE’  zimetengenezwa kwa ajili ya ngozi zetu za kiafrika na wenye ngozi za Asia. Zinakufanya unakuwa soft na hata kama una vijibaka inaficha kabisa unaonekana uso lainiiiiiii. Tena ukipaka hata mchana mtu hawezi kujua kama umepaka poda atadhani umebarikiwa soft face.
ANGALIZO:: USIJIKOBEKE NA CHAGUA ILE YA RANGI YAKO, SIO SABABU SHAMIM INAMFAA NAMBA HII NAWE UKAINUNUE IYO IYO!!

                                  COPY YENYEWE HII HAPAA KWA MUONEKANO WA NJE

No comments:

Post a Comment