Thursday, October 21, 2010

MAMA MBONIE's SUPRIZE BIRTHDAY!!

                                          
                                         Haaooooo  mida ya 6 unusu tukafunga safari kuelekeatua Bandarini  (Kazini kwa mama)na kupata wasaa wa kuiona ile meli ilileta madaktari wa kichina
                                            
                   Monica wa FM Express akiwa anandaa andaa board room
 tulibeba na lunch Box coz ilikuwa mchana (lunch time) , cake , kadi pamoja na maua
                                                            Yes.....chakula tulichukua steers
            wafanyakazi wenzie wakaitwa board room, offcourse wao walikuwa na habari juu ya ujio wetu
 ndo Mama Mbonie akaitwa board room na kukuta watu na tukaanza kuimba happy birthday akidhan ni wafanyakazi wenzie pekeee wameamua mfanyia hayo
                                           kugeuka upande wapili akatukuta kina sisi akadata zaidi
                        akatushukuruuu saana....na muda si mrefu kanipigia simu akishukuruuu  tena lol!!
                                       hahahhaahh akamshukuru Aunt sababu ye ndo alikuwa organizer kutokea hapo ofisini alimuahidi kumpeleka lunch kempsyk , ili asitoke,na alijitahidi amtulize hadi sisi tufike na alifanikiwa (hongera kwa hilo maana kuingilia ratiba ya mtu ni kazi)
                                                        wote tulipata Lunch pamoja....Inapengezaa ee?
                Dada wa mbonie nae alifika  akiwa amefuatana na cake ,maua  na zawadi kwa mama

                     mama alikuwa anatimiza miaka 55 (utasema 27 ;) mbonie iga hapo
                             ikatokea miugonjwa ikawa miwili rangi zafanana...ilitokezea tu sio kwamba ni favorire color ya mama wala si rangi za kutimiza miaka iyoooo......AU?!!
                                                  kata cake tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
                                                 
         nilisamehe koote lakini hapa nami nikajotokezaaa...Ugonjwaaaaaaaa baby!!! ;)
                                                 Pamella aliwamuwakilishaaa Mbonieeee
                                          hadi Big Boss alijumuika nasisi...inapendeza eee?!!

 Mbonie huko aliko mcheche haukumuwacha tumalize kazi aliyotutuma akapiga simu na kuongea na mama yake....how lovily...nilisikia mama akimaliza kwa kumwambia ......be goood!!.......yes Mbonie You have to(iyo nimesisitizia mimi)
                    hahahhaha wamama utawawezaa kumbe walishaandaa zawadi wakamchapa na wax!!!!!

                              wakapata picha ya pamoja .........nasi tukasepaaaaaaaaaaaaaaaaa

 ......UKITAKA UMFANYIE MTU KAKITU KAMA HAPA UPO AU HAUPO NCHINI NIBEEP NIKUUNGANISHE NA MONICA.....mie mtu wamatukio nitakuwepo kukupa kumbukumbu.......

No comments:

Post a Comment